Ureno, kesho inatarajia kuivaa Argentina ambayo inaongozwa na Lionel Messi, mpinzani mkubwa wa Ronaldo.
Tayari Messi na kikosi cha Argentina, wako mjini Manchester wakiisubiri United kwa hamu.
Raha zaidi, mechi hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Old Trafford, uwanja ambao Ronaldo alianza kupata umaarufu akiichezea Man United.
0 comments:
Post a Comment