MAWASILIANO

Phone. - +255 (717) 300 260 - +255 (787) 300 260

HABARI YA MUJINI

HABARI YA MUJINI
watu wa mpira

KOCHA WA MAKIPA SIMBA AANZA MAMBO YAKE ZANZIBAR



Kocha wa makipa wa Simba, Iddi Salim ameanza kazi yake mjini Zanzibar akiwafua makipa wa kikosi hicho.

Iddi amekuwa gumzo kutokana na mazoezi anayoyatoa kwenye Uwanja wa Amaan.
 
Raia huyo wa Kenya ameungana na Simba akitokea AFC Leopards, lakini kabla amewahi kuzinoa Gor Mahia na Harambee Stars.
Pamoja na mazoezi, kocha huyo amekuwa na vifaa tofauti ambavyo vimeonyesha tofauti kubwa na mazoezi ambayo wamekuwa wakifanya Simba msimu uliopita.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment